Ndugu Steve Kimea Mgombea tiketi ya chama cha democrasia na maendereo chadema jimbo la Korogwe Mjini Akiwa Na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) na Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa kwenye mkutano wa Semina ya ufahamu kuhusu katiba jijini Dar es salaam.
Inaendelea.......