Mgombea Ndg, Kimea akiwa kwenye mkutano wa pamoja na Wazee katika jimbo la Korogwe.
Mkutano wa baraza la wazee Jimbo la korogwe mjini-Mh Stephen Kimea.
Stephen James Kimea.Mwanachama na mhamasishaji wa maendeleo ndani na nje ya jamii ya wanachadema Tanzania, ameshiriki katika kampeni mbalimbali za uchaguzi mkuu Maeneo ya Ubungo,Kawe,Mwanza Mjini, Musoma na Kagera.Pia ameshiriki katika uchaguzi wa marudio(mdogo) katika maeneo ya Arumeru mashariki na Igunga, katika ubunge na Kata za marudio katika jiji la Arusha. Nimekuwa mdau wa maendeleo na uchangiaji wa chama kwa Zaidi ya miaka 7.
Uzoefu:Uzoefu wa utawala wa biashara na kuongoza Miradi ya kibiashara kwa zaidi ya miaka 9 sasa katika makampuni makubwa ya kimataifa ya Coca cola,Celtel, Vodacom, Airtel.Mshauri mwelekezi katika Maeneo utawala wa makampuni, kukuza mitaji na mifumo ya kiuwendeshaji.
Kuzaliwa: 25 May 1981 (age 34)
Tanga, Tanzania
|
|
Website. |
No comments:
Post a Comment