Wednesday, 2 September 2015
MAPOKEZI MAKUBWA YA EDWARD LOWASSA SONGEA
Picha Chini: Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia maelfu
ya wananchi wa mji wa Songea Mjini, kwenye Mkutano wa hadhara wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe, Songea
Mjini, Mkoani Ruvuma leo Septemba 1, 2015. Picha na Othman Michuzi,
Ruvuma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment