Tuesday, 1 September 2015
MAPOKEZI YA EDWARD LOWASSA NJOMBE MJINI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa
Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye viwanja vya
Shirika la Nyumba (National Housing) Mjini Njombe tayari kwa kuhutubia
Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, anazoendelea kuzifanya kwa nchi
nzima. Picha zote na Othman Michuzi, Njombe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment