Monday, 17 August 2015
LAWRENCE MASHA AJIUNGA NA CHADEMA
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Nyamagana (2005-2010) jijini Mwanza, kwa
tiketi cha Chama cha Mapinduzi(CCM) Lawrence Masha leo hii amejiunga na
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jijini Arusha wakati wa
kumtabulisha mgombea wa UKAWA na CHADEMA mheshimiwa Edward Lowassa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment