Friday, 14 August 2015
MSAFARA WA LOWASSA WAZUILIWA KWA MUDA KIJIJINI MARORO
Polisi mkoani Kilimanjaro wakiwa wameuzuia msafara wa Waziri Mkuu
Mstaafu na Mgombea Urais kupitia Chadema na anaeungwa mkono na UKAWA,
Edward Lowassa katika kijiji cha Maroro, Wilayani Mwanga mkoa wa
Kilimanjaro, hii leo wakati anakwenda kuhudhuria mazishi ya Kada na
Mwasisi wa Chama cha Mapinduzi CCM, mzee Peter Kisumo huko Usangi.
Lowassa akizungumza kwa simu huku akiwa na Mbunge wa Moshi Mjini Mzee Philemon Ndesamburo.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia akijaribu kuzungumza na Polisi.
Lowassa akizungumza kwa simu huku akiwa na Mbunge wa Moshi Mjini Mzee Philemon Ndesamburo.
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia akijaribu kuzungumza na Polisi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment